Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Ha wewe ndo dada?kwani unataka kuninyima nini hadi ujitambulishe kama dada!!Usiogope....... Mwenye dada hakosi .........
Ha wewe ndo dada?kwani unataka kuninyima nini hadi ujitambulishe kama dada!!Usiogope....... Mwenye dada hakosi .........
Police kabisa??Pouwa mkuu.....
Natafuta kapuku ambae ni police
aaaaaaah ni poa sumbai the boss, naona disco wameingia wamasai wanacheza bila formula.Kiongozi vipi
Habar za jumapili
PT = Pool TableSalama mkuu.
PT=Police Tanzania
Hii ni swaga au shabiki wa simba anafuta machozi![]()
Woyooooooooo
........
Aisee.disco limeingia wamasai.
teh teh tehCheif- chief
Nacheza kama faiza fosk
Mind that fosk sijakosea is makusudically
Pamoja sana kaka.ni safi saaaaana
Mkuu utaleta tafrani
Hapana mkuu ni msaada katika tuta....Njoo mkuu.
Ila mambo ya mlungula weka kando.
Watu wazima wanasema busara ni kukaa kimyaAisee.
Mimi mambio yakutukana kama hivi sipendi kabisa.
Yani bora mtu umfuate PM mkamalizane huko.
Hapa kuna watu wa rika tofauti unaweza kujikuta unamtukana mtu ana umri kama baba yako!
Me Yanga damuHii ni swaga au shabiki wa simba anafuta machozi
kuuuumbeeeMimi ni PT mkuu.
PotezeaAisee.
Mimi mambio yakutukana kama hivi sipendi kabisa.
Yani bora mtu umfuate PM mkamalizane huko.
Hapa kuna watu wa rika tofauti unaweza kujikuta unamtukana mtu ana umri kama baba yako!
Kumbe nini.kuuuumbeee
Nimeshafanya yangu my wii

Mkuu kwani wewe ni KE?Mimi ni PT mkuu.
kweli na hapo ndo kwenye shida.Suala hilo ni gumu sana kufanyika, kuna watu humu ni Mazambiq.