xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
eeeti mutu ya bolingo.No Papaa, mutu ya Palii mutu ya bolingo
eeeti mutu ya bolingo.No Papaa, mutu ya Palii mutu ya bolingo
Wa afya, sijui wewe wakwetu?Mzima wewe?
Salama mkuu.Pt ndio Nini mkuu....
Habari za jumapili cheif
Iko njema sana kaka.Wa afya, sijui wewe wakwetu?
Jins yoyote mkuuKE au ME?
Nakuja pm mkuu....Salama mkuu.
PT=Police Tanzania
unajitahidi malkia wa taarabu
Cheif- chiefPt ndio Nini mkuu....
Habari za jumapili cheif
mia mia mkuu

Njoo mkuu.Jins yoyote mkuu
Nakuja pm mkuu....
Tuongee
Kiongozi vipini kweli kabisa.
wewe bado mgeni sana haa JF, unaonaje kama ukajifnza kupitia kwa wle waliokutangulia?wacha we. kwa hiyo mnataka mabadiliko wanuka mkojo?
disco limeingia wamasai.Amani itawale tafadhali.
Leo ni jpili mkuu.
*________Peace_____*
Aaah mkuu acha hizo, unapenda bifu
wewe jamaa kwanzia leo umekuwa swahiba wangu kwasababu nimegundua akili zako ziko sawa sio kama hawa wenzako wanaopelekeshwa na hadija kopa.
Mkuu wabeba box hujatutaja.....mbona.....inamaana hututambuiLakini vipi mkuu,, wakati humu tumetimia, kuna Bankers,wanasheria, police, wa chumi nk, tukiamua tunaweza
Cheif- chief
Nacheza kama faiza fosk
Mind that fosk sijakosea is makusudically