Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha nikwambie tu
Hii siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua aah [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Acha nikuonyeshe kina na upama wa mapenzi yangu
Na uwe wangu wa milele niwe wako [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Acha nikuonyeshe kina na upama wa mapenzi yangu
Na uwe wangu wa milele niwe wako [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mmmhh wimbo ule wa jux alio shuti China unaihusu..
 
Hayo majeraha uniuguze uniuguze
Illa acha nikwambie tu
Hii siri ya moyo wangu
Hata nikificha mboni zitaniumbua [emoji8][emoji8]
 
Acha nikuonyeshe kina
Na upana wa mapenzi yangu
Na uwe wangu wa milele niwe wako [emoji182][emoji182]
 
Kwako wee ndo sijiwezi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hata nyendo sina aah
Mbele sioni [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Nakupendaga wewe tu babe [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom