Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mama Nah wangu mimiMmmhhh
Mama Nah wangu mimiMmmhhh
Niko hapa mimi jamaniMama Nah wangu mimi
Hivi unatakiwa uitike oi oi oi eti we mzeeOi oi oi
Binamu heshima yako
Ijumaa imekaribia, ukiwa unajiandaa kusubiria Je Wajua kama mimi hapa hebu tujiburudishe kidogo na kama uko mitaa ya Kunduchi beach karibu kuna mvinyo umechacha
Nimeipokea heshima yangu aunt. Naamini uko salama kabisa hapo CanadaBinamu heshima yako
Hahaha binamu Canada ya huku kwa bashite auNimeipokea heshima yangu aunt. Naamini uko salama kabisa hapo Canada