Ukaukwi kunisusia unaondoka unaondoka kama daladala za kkoo inatoka inatoka
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka nishapat pa kuegemea ooh napendwa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Na sio kwa ninavyojidekea
Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marahaba mkuu wangu naona umepona sasa
Hadharani unanisusia
kuropoka ropoka
Ama domo lako shimo la choo
Yanakutoka [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mmh napendwaaaa na sio kwa ninavyojidekea [emoji847][emoji847] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa
Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy [emoji4]
Oooh kutendwa
Nakusikia kwenye bomba
Na tena naenjoy [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Hulka yako ya pupa, mwenzako ananinyenyekea [emoji8] [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Mpa ka raha mpaka natakatishwa
Mpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu [emoji849][emoji849]
Napenda akinipa
Akinipa migandisho
Kama anapigwa shoti
Akisakata migandisho [emoji2987][emoji2987][emoji2987][emoji2987]
Mmmmh napendwa, na sio kwa ninavyojidekea [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mpa ka raha mpaka naogeshwa nakandwa
Mpa ka raha mpaka na tena naenjoy [emoji8]
Rahaaaaaaaa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Na kama mapenzi
Roho yake bahari [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Huu muda naelea
Maana nishazamaga
Nishakufa mzoga [emoji2987][emoji2987][emoji2987][emoji2987]
Na kama penzi melody kali
Mi kwake ndo burudani. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Wala sidhani ka
Ataridhika kunikosa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Mashalaaaah, mtoto mlito, sauti nyororo , ya mtoa NYOKA pangoniOooh kutendwa
Nakusikia kwenye bomba
Na tena naenjoy [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee bwana ndio nini kuquote zote hiviMashalaaaah, mtoto mlito, sauti nyororo , ya mtoa NYOKA pangoni
Napata kahawa,huku nasikiliza na kusoma MASHAIRI matamu
Walahi rahaaaa
Nitakata usijari shangazi kdg kdgKukataa ulevi we mzee
Hahahaha, nimependa mashairi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee mzee bwana ndio nini kuquote zote hivi
UnastahiliOoh napendwa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
We mzee bwana ujue unanifurahisha sanaUnastahili
Hahahahaha acha tu nyimbo hii mzee nzuri sanaHahahaha, nimependa mashairi
Ndio mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] marahaba mkuu wangu naona umepona sasa
Hebu hukooMmh napendwaaaa na sio kwa ninavyojidekea [emoji847][emoji847] [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]