Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Hahahaha, ndio mnaita Blue Monday?
Hahahaha, ndio mnaita Blue Monday?
Hahahaha, hebu mwambie afungue PM ,tuwasiliane, anipatie namba yake ,mengine yaendeleeTunarudi palepale we mzee udomo zege wako mwaga hela uko na ujifanye kumuomba no sasa sio umuombe no uwe unasalimia salimia tu umwage mahela uko
Tupo mbonaMambo ya kuweka je wajua nasoma peke yangu sitakiii watu hamuonekani nabaki mwenyewe tu
We mdada sijui binti sijui mmama ebu mfungulie huyu mzee pm jamaniHahahaha, hebu mwambie afungue PM ,tuwasiliane, anipatie namba yake ,mengine yaendelee
KumekuchaaaaaaaaaaWooooyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Woooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Acha uongoTupo mbona
HahahahaWe mdada sijui binti sijui mmama ebu mfungulie huyu mzee pm jamani
Hahahaha, mwambie nateseka kwa ajiri yake ,We mdada sijui binti sijui mmama ebu mfungulie huyu mzee pm jamani
Hahahaha, mwambie nateseka kwa ajiri yake ,
'Mwambie Bado robo SAA mie nife'




weeh mzeee unatutia aibu mabaharia wenzio huwa hatulii kwenye mapenziHahahaha, mabaharia huwa mnafanyaje sasa,nipe mbinuweeh mzeee unatutia aibu mabaharia wenzio huwa hatulii kwenye mapenzi
Hahhaha nimekwambia we mwaga pesa tu yaani mwaga pesa uone utakuja kunishukuruHahahaha, mabaharia huwa mnafanyaje sasa,nipe mbinu
Maana mtoto 'mlito' mmoja matata sana ako anasumbua kichwa yangu
Hatujambo habari yakoNawasalimia sana ndugu zangu Mabaharia wa humu!
Namwagaje pesa na yy kafunga PM, sina namba yake ? Nimekutuma mwambie atoe kufuliHahhaha nimekwambia we mwaga pesa tu yaani mwaga pesa uone utakuja kunishukuru
Sasa we mzee unanipa mtihani mimi namjuajee si nilishasema juu hapo akufungulie pm jina lake simjui sasa ujumbe sijui atauona vipiNamwagaje pesa na yy kafunga PM, sina namba yake ? Nimekutuma mwambie atoe kufuli
Hatujambo habari yako
Wooooyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Woooooiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii






Waaoooooooooooo