Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Haahaha kwani baharia yupoje mpaka umeukataa hivyo we mzeeHahahaha, hapana mie sio baharia na siwezi kuwa baharia
Haahaha kwani baharia yupoje mpaka umeukataa hivyo we mzeeHahahaha, hapana mie sio baharia na siwezi kuwa baharia
Acha uwongo mpaka kufikia umri huo hjjawahi kupendwa sasa huyo unayempenda si umfungukie tu ajue we mzeeHahahaha, sijawahi kupendwa, ila nimewahi na ninapenda sehemu ,sijui kama na yeye ananipenda km navyompenda



Mambo ya kuweka je wajua nasoma peke yangu sitakiii watu hamuonekani nabaki mwenyewe tuTuwekee je wajua
Hahahaha, huwezi amini sijawahi kupendwa labda sina SIFA za kupendwaAcha uwongo mpaka kufikia umri huo hjjawahi kupendwa sasa huyo unayempenda si umfungukie tu ajue we mzee
Jamani kupendwa raha kupendwa kutamu hasa umpate anayekupenda unayempenda
Na hali ya hewa ya leo ni kula kunywa kama hamuendi kazini
Baharia watoto wa mjini,mie Mzee wa shamba na u baharia wapi na wapi?Haahaha kwani baharia yupoje mpaka umeukataa hivyo we mzee
Mie mdau mkuu wa hy 'segment'Mambo ya kuweka je wajua nasoma peke yangu sitakiii watu hamuonekani nabaki mwenyewe tu
Naweka humu nabaki na je wajua yangu peke yangu watu wote hawapoMie mdau mkuu wa hy 'segment'
Hahahha kwahiyo ubaharia huuwezi we mzeeBaharia watoto wa mjini,mie Mzee wa shamba na u baharia wapi na wapi?
We mzee nilichogundua we ni domo zege etiHahahaha, huwezi amini sijawahi kupendwa labda sina SIFA za kupendwa
Huyu naye mpenda natamani nimwambie tatizo sasa....
Hahahaha, kausha basi ,usitoe SIRI ,shangazi ,wajomba wakasikiaWe mzee nilichogundua we ni domo zege eti
Niwe mkweli si uweziHahahha kwahiyo ubaharia huuwezi we mzee
Hahahaha, hapana mie nipoNaweka humu nabaki na je wajua yangu peke yangu watu wote hawapo
Sasa we mzee ngoja nikupe mbinu wenzio madomo zege wenzako wakimpenda mtu hawawezi kumwambia huwa wanamwaga pesa yaani wanamwaga pesa ndio inaongea badala yakeHahahaha, kausha basi ,usitoe SIRI ,shangazi ,wajomba wakasikia
Kwahiyo niweke utafatilia basi naweka kwa ajili yako we mzeeHahahaha, hapana mie nipo
Hahahaha, nazimwaga wapi sasa,barabarani au dampo? Hii mbinu yako Kali sanaSasa we mzee ngoja nikupe mbinu wenzio madomo zege wenzako wakimpenda mtu hawawezi kumwambia huwa wanamwaga pesa yaani wanamwaga pesa ndio inaongea badala yake
Swadakta,wekaKwahiyo niweke utafatilia basi naweka kwa ajili yako we mzee
Tunarudi palepale we mzee udomo zege wako mwaga hela uko na ujifanye kumuomba no sasa sio umuombe no uwe unasalimia salimia tu umwage mahela ukoHahahaha, nazimwaga wapi sasa,barabarani au dampo? Hii mbinu yako Kali sana
Huyu nimpendae km ningepata namba yake ,ningefanya hivyo
Nitaweka we mzee kwa ajili yakoSwadakta,weka