mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 19,057
- 37,273
Waaoooooooooooo
Waaoooooooooooo
Cha mwisho nilikuwa namaliziaKumekuchaaaaaaaaaa
Dah, acha tu niendelee kula kwa macho sio mbaya pia, muhimu yupo anayependwaSasa we mzee unanipa mtihani mimi namjuajee si nilishasema juu hapo akufungulie pm jina lake simjui sasa ujumbe sijui atauona vipi
Swalama kabisaa...anko salama ndugu yangu
Nipo kitandani mm nimelalaDah, acha tu niendelee kula kwa macho sio mbaya pia, muhimu yupo anayependwa
Leo Heineken unazinywa wapi?
Mtu mzima ww haufananii na ubahariaBaharia niko powa
Aaarh, nimechelewa kdg ,ningekuja kukufunika shukaNipo kitandani mm nimelala
Mtu mzima ww haufananii na ubaharia
Eenh kunifunika shuka tena we mzee silali peke yangu ujue nalala na mtekaji wanguAaarh, nimechelewa kdg ,ningekuja kukufunika shuka
Wenzako hawamaanishi ubaharia wa kwenye meliMm nshavuka utu uzima.... Mwakani nipo ktk list ya PSSSF! Baada ya vita na Amin nimesafiri sana Meli!
Hahahaha, umeamkajeEenh kunifunika shuka tena we mzee silali peke yangu ujue nalala na mtekaji wangu
Nakuhamu ujueWaaoooooooooooo
HunBaby
Wenzako hawamaanishi ubaharia wa kwenye meli
Anitume mm nipeleke ujumbenamjua Huyo mtuWe mdada sijui binti sijui mmama ebu mfungulie huyu mzee pm jamani
Nitume mm anko ntafikisha ujumbeHahahaha
WazamiajiSa sisi wa kwenye Meli tunaitwaje?