Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mimi nimeachaBado haujaiacha.
Mimi nimeachaBado haujaiacha.
Unaambiwa binamu kwa jirani yangu huwa hasemi kitu...kila kitu ni ndio [emoji16][emoji16]
Napenda kudeka mm baba wawili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....yaani sijui ni limbwata au nini. Mtoto ananifanya naitikia kama mjusi kafiri
Hahahah na yeye anadeka binamu.....nyie mnaodeka ndo mnatufanya tunashindwa kuwa na wapenzi wengi.
Ndo maana Telemundo wangu ananikondesha sana
Kwetu mvua kwenu jee
Binamu usiku kwani upo wapi.....huku jua kali sana yaani hata giza halionekani. Saa hizi usiku lakini ndo hivyo sasa
Binamu usiku kwani upo wapi
Kitandani binamu kumbe binamu we mkristo najuaga siku zote muislamu...nipo tu nyumbani najiandaa kwenda kanisani aunt, wewe uko wapi
Ndio wapi huko? Tatizo nikija mjini hamuonekaniWewe uko Congo unakula Primus beer, ukija mujini tujongee kwa Mfojo tukale mishikaki
Hahahaha, tutaenda woteBinamu ulivyotaja misikaki mate yamenijaa tena iwe ya nundu hivi
NdoNdio wapi huko? Tatizo nikija mjini hamuonekani
Kitandani binamu kumbe binamu we mkristo najuaga siku zote muislamu
Wapi huko etiHahahaha, tutaenda wote
Hivi unaongea na naniMungu anakuona siamin kama Kweli wanawake wanäacha umbea.
Oooh.....aunt me naamini kwenye ustaarabu wa kutomfanyia mbinyo mwenzako. Napiga goti na mkeka kwa nafasi tofauti. Ukiishi Mecca utajua maanisha nini