Nakuona tu...poleni sanaNapenda kudeka mm baba wawili
Hahaha binamu....yaani sijui ni limbwata au nini. Mtoto ananifanya naitikia kama mjusi kafiri
Itapendeza ankooo,karbu sanaHahahaha, safi sana ,siku moja tutajoin pamoja
Migandisho ndio nn...sisi wa kolomije unatutenga sanaNapenda akinipa
Akinipa migandisho [emoji847][emoji847] [emoji39][emoji39][emoji39]
Heh...mtoto mlito umekufa umeoza na bado upo unapost hapaHuu muda naelea
Maana nishazamaga
Nishakufa mzoga [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kama dozi ya dawa eehMpa ka raha mpaka anipaga kutwa mara tatu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]