Prince az
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 1,206
- 1,552
King Mswati yuko wapi? Nilikuwa nategemea kumuona huku. Halafu kule kwetu naona kama vile kumedorora dorora. Kuna nini?
Na yako umeifunga mtoto mlito?Vigezo gani hivyo baba wawili
Ukweli upiApotee mara ngapi ebu mwambie ukweli binamu yako
Wanakutunzia wanaume wenzio binamu we furahia tu
Hata sifahamu bro,,majukumu yatakuwa yamebana...hata mimi naona pamepoa sana..kuna memba wakipotea lile jukwaaa linapoa piaKing Mswati yuko wapi? Nilikuwa nategemea kumuona huku. Halafu kule kwetu naona kama vile kumedorora dorora. Kuna nini?
Acha kumwambia ukweli hahaWanakutunzia wanaume wenzio binamu we furahia tu
King Mswati yuko wapi? Nilikuwa nategemea kumuona huku. Halafu kule kwetu naona kama vile kumedorora dorora. Kuna nini?
Salama bro,sijambo kabsa,,,,habari ya uzima bro?Hali yako bro
Hivi si nilikwambia nimestaafufanya ivyo c unajua uchaguzi unakaribia
Baba wawili niifunge ili nipishane na gari la mshahara iko wazi bwanaNa yako umeifunga mtoto mlito?
Hatujambo moud habari yakoHamjambo humu
Kuwa wanaume wenzie wanamsaidiaUkweli upi
Baba wawili wewe sio mtu mzuri kabisaAcha kumwambia ukweli haha
Haha unataka kumfanya binamu apate presha bure,,,amewekeza mtaji wake wote wa koroshowBaba wawili wewe sio mtu mzuri kabisa
sawa sawa...ankoo aione hiii post aiseeBaba wawili niifunge ili nipishane na gari la mshahara iko wazi bwana
Sio binamu ninayemjua mm awekeze tu kifwala fwala na ubahili wake baba wawiliHaha unataka kumfanya binamu apate presha bure,,,amewekeza mtaji wake wote wa koroshow
Hahahhahah anko wako yupi huyo baba wawilisawa sawa...ankoo aione hiii post aisee