Huko mjini kwenuWapi huko eti
Oooh
...hebu niambie mtoto Mlito inamaana gani!?Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala mtoto mlito..
Mm sipajui uko anaposema binamu obeHuko mjini kwenu
Mtoto mlito binamu mtoto mmoja kibonge hiviiii na minyama yake kama mimi yaani...
...hebu niambie mtoto Mlito inamaana gani!?
Unajua sisi vijana wenye mambo ya kizee tunahitaji kujua lugha za kisasa.
Mimi hadi leo huwa nikiwa namuapproach mrembo namuuliza "....dada uko shega".....
Mtoto mlito binamu mtoto mmoja kibonge hiviiii na minyama yake kama mimi yaani
Oooh, sawaMm sipajui uko anaposema binamu obe
Asante binamu yangu na kwako pia...asante aunt yangu. Uwe na mwanzo mzuri wa wiki