Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] umeyaona wapi we mzeeNaamini kabisa hii
Tena yawe mazuri mazuri yaenye mvuto kama ya Shunie chibonge cheusi mangala mtoto mlito
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] umeyaona wapi we mzeeNaamini kabisa hii
Tena yawe mazuri mazuri yaenye mvuto kama ya Shunie chibonge cheusi mangala mtoto mlito
Binamu kiukweli nimekumissSalamu wadau wazuri wa Jukwaa hili. Happy furahiday pia, make it an easy one, usiifanye ijumaa kuwa ngumu sana, maisha ni haya haya na kama kawaida ndugu yenu naburudika mida ikifika
Kwema binamu?...ijumaa njema na kwako pia...msalimie jirani yangu ABJ
Nimeyaona kwenye kifua chako hapo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] umeyaona wapi we mzee
Eeenh afungue tena muyajenge itakuwa pm hiyo
Mama mpandishwa vyeo fungua pm uko
Miss u too[emoji8][emoji8]
Hahah nipo sawa mtoto mlito...ni ndugu yangu huyu namfahamu toka akiwa anajipikilisha na kutengeneza watoto wa udongo[emoji16][emoji16]Dada akoo kakuroga si bure jamani nitakupeleka kwenye maombi baba wawili
Vigezo na mashart vizingatiwe kwanza,pm ndio itafunguliwa [emoji16][emoji16]Wanajisemea warembo wa jf kufunga pm kupishana na gari la mshahara
Kwahiyo mwambie dada ako afungue pm uko asipishane na gari la mshahara
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona unataka kuchomoa betri Dada.
Hahaha hayo mafuta ya nazi pia unamnunulia binamu??..binamu nashukuru kwa kunijulia hali, nakusalimia pia.
Wikendi ndo kunakucha tutoke kuitafuta furahiday.
My Telemundo ABJ hajambo sana, anazidi kuwa mrembo tu hadi napata mawazo, mtu sitoi matumizi (sio kwamba me mbahili, ila sijalipwa hela zangu) lakini mtoto anazidi kunoga utasema anaogea mafuta ya nazi
Wanakutunzia wanaume wenzio binamu we furahia tu..binamu nashukuru kwa kunijulia hali, nakusalimia pia.
Wikendi ndo kunakucha tutoke kuitafuta furahiday.
My Telemundo ABJ hajambo sana, anazidi kuwa mrembo tu hadi napata mawazo, mtu sitoi matumizi (sio kwamba me mbahili, ila sijalipwa hela zangu) lakini mtoto anazidi kunoga utasema anaogea mafuta ya nazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu uombe nipewe talaka halafu nikiachwa ufanye shereheNimekumiss pia sana tu aunt yangu. Ujue wewe ni mtu mzuri sana sema tu ndo anko wangu Lee anakukongoroa, saa nyingine huwa nawaza niende mahakamani nikaombe upewe talaka.
Happy easy furahiday
EeenhNimeyaona kwenye kifua chako hapo
Nataka kuchomoa betri au nakupigia debe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona unataka kuchomoa betri Dada.
Vigezo gani hivyo baba wawiliVigezo na mashart vizingatiwe kwanza,pm ndio itafunguliwa [emoji16][emoji16]
Apotee mara ngapi ebu mwambie ukweli binamu yakoHahaha hayo mafuta ya nazi pia unamnunulia binamu??
Msalimie sana,uwe unamwachia mara moja moja,mwisho wa siku atapotea njia
Nataka kuchomoa betri au nakupigia debe