Msitu wa Amazon ndiyo unaitwa mapafu ya dunia. Tatizo rais mpya wa Brazil hajali mambo ya mazingira na ameruhusu makampuni mengi ya magogo yanakata miti hovyo. Hivi tunavyoongea zaidi ya nusu ya Amazon inawaka moto na inasemekana moto huo umewashwa na hawa hawa wakata magogo na wachimba madini. Tayari wataalamu wanatabiri kuongezeka kwa magonjwa ya mapafu, ukame na kuongezeka kwa joto duniani....
Jim Gaffigan ananichekeshaga sana...
Mbali na msambwanda wa kufa mtu, una ukibonge gani wewe?Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala mtoto mlito....
HahahEeenh afungue tena muyajenge itakuwa pm hiyo
Mama mpandishwa vyeo fungua pm uko
Bado siamini hapa,wawili wake watundu sana,itakuwa walikuwa wanachezea simu yake wakatype [emoji16][emoji16],,,hasa yule kibonge mtundu sanaUjionee dada akoo baba wawili si huwa unamtetea wewe
HehWanaume mkujeee kuna ujumbe wenuView attachment 1187998
That's my bro hahaMbali na msambwanda wa kufa mtu, una ukibonge gani wewe?
Cheupe wa Tanga una ucheusi mangala gani? Acha hizo...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Naamini kabisa hiiWanaume mkujeee kuna ujumbe wenuView attachment 1187998
Hujambo bro?That's my bro haha
Sijambo bro,namshukuru Muumba...nipo salama...habari za huko bro??wazima huko?Hujambo bro?
Kwema binamu?...ijumaa njema na kwako pia...msalimie jirani yangu ABJSalamu wadau wazuri wa Jukwaa hili. Happy furahiday pia, make it an easy one, usiifanye ijumaa kuwa ngumu sana, maisha ni haya haya na kama kawaida ndugu yenu naburudika mida ikifika
Huku salama kabisa bro. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijambo bro,namshukuru Muumba...nipo salama...habari za huko bro??wazima huko?
AiseeeeMsitu wa Amazon ndiyo unaitwa mapafu ya dunia. Tatizo rais mpya wa Brazil hajali mambo ya mazingira na ameruhusu makampuni mengi ya magogo yanakata miti hovyo. Hivi tunavyoongea zaidi ya nusu ya Amazon inawaka moto na inasemekana moto huo umewashwa na hawa hawa wakata magogo na wachimba madini. Tayari wataalamu wanatabiri kuongezeka kwa magonjwa ya mapafu, ukame na kuongezeka kwa joto duniani....
Binadamu siye yaani sijui tukoje [emoji36][emoji36][emoji36]
Khaaaaa [emoji849][emoji849][emoji849]Mbali na msambwanda wa kufa mtu, una ukibonge gani wewe?
Cheupe wa Tanga una ucheusi mangala gani? Acha hizo...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wanajisemea warembo wa jf kufunga pm kupishana na gari la mshaharaHahah
Dada akoo kakuroga si bure jamani nitakupeleka kwenye maombi baba wawiliBado siamini hapa,wawili wake watundu sana,itakuwa walikuwa wanachezea simu yake wakatype [emoji16][emoji16],,,hasa yule kibonge mtundu sana