Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Tumesikia mtoto mlito[emoji120][emoji120]
Tumesikia mtoto mlito[emoji120][emoji120]
Duh...Oppo wapo vizuri sanaWakalunya hizi simu zinawahusu Cole Williams na @DavetView attachment 1186551
hawa ni wawili watakuwa wamekupokonya simu dada ake[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ningendako kazana uongeze Siku za kuishi[emoji16][emoji16][emoji85]
Umefurahi naona[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwema bro?Salaam wakuu
Huu ni uwongo. Mimi naamini kupiga magoli hasa yale matamu kabisa yanayosababisha mzizimo wa ubongo mpaka mwili unakaribia kufa ganzi yanapunguza sana umri wa kuishi. Naamini hii ndiyo sababu wanaume huwa tunakufa mapema...
Unakumbuka nyakati zile uzi huu unatamba Msukuma napambana Lee ananizibia? Kweli mambo yanabadilika aisee...Watu wote wametekwa
Eeenh afungue tena muyajenge itakuwa pm hiyoFungua basi tuyajenge mama.
hawa ni wawili watakuwa wamekupokonya simu dada ake[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujionee dada akoo baba wawili si huwa unamtetea weweUmefurahi naona[emoji23][emoji23]
Watu wapo busy na majukumuUnakumbuka nyakati zile uzi huu unatamba Msukuma napambana Lee ananizibia? Kweli mambo yanabadilika aisee...