Makapuku Forum

Makapuku Forum

FB_IMG_1564539111632.jpeg
 
....binamu salama ndugu yangu! Mapumziko ya 8-8 yanaendelea vipi.?

#FreeMtotoMlitofromguesthouse#

Hivi hashtag unaipataje!?
Salama binamu yangu,habari za huko?mapumziko yanaendelea vyema kabsa...

Hahah hiyo hashtag binamu

Binamu kila kitu unakuwa wa mwisho kujua acha jirani ABJ aje akusaidie
 
.....ha ahhahaha, unajua binamu nikisema ushamba mzigo tafadhali usisikilize zile clip za kina Kinana wakimsema mzeewangoma. Mimi mambo ya hashtag nitajua baadaye nikikaa na telemundo ABJ anipe semina elekezi
 
Ha haha binamu,,omba mtekaji amuachie jirani yangu huko aliko
 
Back
Top Bottom