Makapuku Forum

Makapuku Forum

......duh, binamu umenikumbusha, hivi huyu mtoto yuko wapi!? Yaani kila ilikuwa nikipata hela nampenda yeye, zikiisha tu au madeni yakiongezeka basi malavidavi yanahamia kwa telemundo
Siku zote nafahamu kuwa ww ndiye uliyemteka huyu mrembo...tusaidie kutoa maelezo binamu ni wapi huyu bibie umemficha
 
Back
Top Bottom