Toto kibonge jeupe la Kitanga lenye msambwanda wa kufa mtu na mamiguu ya bia...Wakubwa wanafaudu [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala....
Ndiyo maana wengi wao mwisho wao huwa siyo mwema...
Wakati mwingine ni uraibu tu wa kawaida kama uraibu mwingine wo wote...
Khaaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Toto kibonge jeupe la Kitanga lenye msambwanda wa kufa mtu na mamiguu ya bia...Wakubwa wanafaudu [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahhaha msukuma hii umejitetea inakuhusu eeenhWakati mwingine ni uraibu tu wa kawaida kama uraibu mwingine wo wote...
Aiseee
Ameen AmeenMakapuku idumu milele
Mama lizy 11 ndio nani binamu yanguAsante Shunie kwa Je Wajua, huwa nikisoma tu kipengele hiki japo kwa kuchelewa huwa hata siwezi kuuliza swali langu muhimu la Je Kuna Jipya?
Usiku mwema wadau mlio kwenye saa za kulala na kwa kuwa JF ni kama koloni la mama Lizy II kuna wengine humu kwao ni saa tano asubuhi.
Unazo. Nina ushahidi [emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]Khaaa [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mm huyo msukuma mbona msambwanda na mamiguu ya beer mm hizo sifa sina