moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,370
- 776,043
Tena sana, itakuwaje mara chache!?
Niko poaMambo, mzima
Ndio ndio... View attachment 1165962
Mmesikia msioshiriki tendo la ndoa ugonjwa wenuView attachment 1165971
Wazee wa vumbi la congo kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1168012View attachment 1168014
binamu hizo sio shutuma,tuliona kimya kingi tukajua umetekwa na Sepenga....
Ndio binamu,napenda matunda,naona umehamia kwenye kilimo cha matunda,,,kila la kheri huko hautadhurumia kama kwenye koroshow
Salama binamu...habari za kwako?weekend inaendaje huko?
Cjambo hbr ya sikuBinamu mambo?
Heshima yako binamu usinitoe kwenye lengo la fursana,maana hayo mananasi unaweza singizia msimu...duh, sasa hizi shutuma kwa hapa Utete nilipokuja kutembea tunaziita fitna. Binamu Tumosa furana atakunywa sana na kwa kuonesha msisitizo hapa nimelima mananasi, namletea yaliyoivia shambani atengeneze jwisi asahau fursana,
Binamu kwani nawe unapenda matunda nikuletee?
Uliahidi fursana binamu nataka kunywa mpaka nilewe.....maombi ya Shunie tafadhari yaelekezwe kuipata connection na sio kuniombea mimi ambaye kila napopanga kutimiza ahadi zangu akili inapotea nasahau niliahidi nini.
Salama lakini?
Mtekaji hana huruma na sisiMtoto mlito katekwa ndugu yangu
Atasingizia msimu Hugo oooh mwaka huu mvua zilikuwa kidogobinamu hizo sio shutuma,tuliona kimya kingi tukajua umetekwa na Sepenga....
Ndio binamu,napenda matunda,naona umehamia kwenye kilimo cha matunda,,,kila la kheri huko hautadhurumia kama kwenye koroshow
Uliahidi fursana binamu nataka kunywa mpaka nilewe
Kwani hamjalipwa bado
...asante kwa kunikumbusha binamu, yaani saa nyingine huwa nasahau makusudi hata nikikumbushwa.Uliahidi fursana binamu nataka kunywa mpaka nilewe
Kwani hamjalipwa bado
Hahah yale magunia mawili ya mkaa sio....matunda naamini hawatanidhulumu, nimehamia huku, nilitaka kuanza kuuza mkaa lakini yule mkazi wa Kigamboni kawatisha wateja wangu nimeamua sasa nijikite kwenye matunda, mniombee
Nipo salama pia binamu,weekend inaishilizia taratibu kabsa....wikendi iko poa kabisa, ndo kwanza jmosi imechanganya hapa. Nataka kutoka niende kuosha macho
Vipi wewe lakini
Fursana kumbe inalewesha dada ake hahaUliahidi fursana binamu nataka kunywa mpaka nilewe
Kwani hamjalipwa bado