Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Poa hamna noma brother.Na kwako pia kaka.
Poa hamna noma brother.Na kwako pia kaka.
Nzuri mkuu, natumai hata wewe pia na jamii inayokuzunguka mpo salama ..
Uwe na siku njema.
Na kwako pia kaka.Ibada njema wote
Pamoja sana kaka.Poa hamna noma brother.
Niombee na mimi mkosefu.Najiandaa kuingia ibadani
Mimi niko mzima wa afya.Salama mkuu, habari yako
Hahahahaaa.... Itakuwa yuko....Atakuwa..mwa....
Asante kaka. Siku njema na kwako pia.Nzuri mkuu, natumai hata wewe pia na jamii inayokuzunguka mpo salama ..
Uwe na siku njema.
Nipo brother.Youngblood upo mkuu!
Kaka usisahau kuniombea na mimi.Nipo brother.
Najiandaa kwenda church.
Usijali brother.Kaka usisahau kuniombea na mimi.
Najisikia vibaya sana kwa kutoenda kanisani kwa siku ya leo.Usijali brother.
Wewe kawaida yako.Najisikia vibaya sana kwa kutoenda kanisani kwa siku ya leo.
Tupo pamoja sana kaka.

Du....hii post ya siku tatu zilizopita ndo naisoma leoPamoja sana.
Mi humu mgeni hata sielewi kinachoendeleaKoho koho hivi dawa ya kikohozi ntapata wapi??
Na kwako pia shemeji.Jumapili njema Na ibada njema
Mbona umetoa macho kama unasubiri umbea
Du mi ibada ilikuwa jana nimekuja kusalimia humu kumbe ndo mnaenda churchJumapili njema Na ibada njema