Makapuku Forum

Makapuku Forum

afc15551bce3b6b4fec6b636f818338a.jpg

Nawatakia jpili wakuu.
 
Nimeona watu wengi sana wanalalamika *TATIZO la notification* ukitumia application ya Jf kwenye simu.
Jaribu kufanya yafuatayo UNAWEZA UKAFANIKIWA.

1.Nenda kwenye settings za simu tafuta kitu kinaitwa *notification center*
6e44a99be7eaa57f42589d815dc69f28.jpg

Fungua hapo then kitatokea kitu kama hiki hapa chini.
9cb3579d74ba65b425e53c447122dc77.jpg
Click hapo kwenye jamii forums then SWITCH ON kila kitu, kama hivi hapa chini
d5be2dca9b435521680bd94c05e3d5a5.jpg

Baada ya hapo zitakuja bila kupenda labda kama simu yako ni kimeo.

2.Njia ya pili ya kukufikisha hapo ni kwa kupitia sehemu ya simu iliyoandikwa phone MANAGER(hii kitu inakuja na simu ukiitafuta utaiona hapo kwenye applications)
click then itafunguka kama hivi hapa chini
8a89636496e172e3caab14602a1b894e.jpg

Utaona sehemu imeandikwa notification center,click hapo then fuata hizo steps kama kwenye njia ya mwanzo.

I hope itawasaidia BAADHI*
*___________________________*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom