EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,415
Pamoja sana.Kweli mkuu
Pamoja sana.Kweli mkuu
Ajirekebishe.Nimemwambia
Pole kwa majukumu kaka.Nilikuwa biz tu
Habari yako kaka?nipo rafiki, natumai we mzima ..
Ninamwona usijali
Umemuona nani na wakati nilikuwa nakutafuta wewe?
Ibada njema woteGud morning Kapukuz
Twendeni church
Nawatakia J2 yenye baraka
............
Mzima wewe?Yap, kaka nipo.
Umeamkaje kaka?Usiku mwema mkuu
Njema mkuuHabari ya Jumapili Wapendwa.
Kutafuta pesa saa nane za usiku?Jamani amkeni tukasake pesa jama
Salama mkuu, habari yakoUmeamkaje kaka?
Ni siku ya kumtukuza Mungu. Siku njema kaka.Its Sunday
Ni nzuri kaka, jumapili inaendaje kwako?Salama mkuu, habari yako
Atakuwa..mwa....Kutafuta pesa saa nane za usiku?
Unaenda kuiba?
Nawe pia mkuuNi siku ya kumtukuza Mungu. Siku njema kaka.
Na kwako pia kaka.![]()
Nawatakia jpili wakuu.
Nzuri mkuu, natumai hata wewe pia na jamii inayokuzunguka mpo salama ..Habari yako kaka?
Pamoja sana kaka.Nawe pia mkuu
Najiandaa kuingia ibadaniNi nzuri kaka, jumapili inaendaje kwako?