Aisee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hapana mkuu mimi ni muumini wa kawaida tena huwaga sisalimiani na mtu nikitoka direct home mm wa mwisho kuingia ila wakwanza kutoka
Hahahahaaa.... Sio hivyo kaka. Jumapili ijayo lazima niende.Wewe kawaida yako.
Kila jpili unaumwa.![]()
![]()
Ikoje hiyo kaka, hebu nikumbushe.Du....hii post ya siku tatu zilizopita ndo naisoma leo
Mwenyewe unaona raha kutuletea habari za yeboyebo.

Asante shem, na kwako pia.Jumapili njema Na ibada njema
Jimena leo upo vzur
Mwambie inatosha sasa...Mwenyewe unaona raha kutuletea habari za yeboyebo.![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana kaka, huwa naenda.Du na wewe huendi church
Salama brother.Za jumapili wakuu
Haya tunayasubiri ila punguza habari za Yanga...Muwe na jumapili njema magazeti yatafuata soon
Unataka hela?Na mimi mkuu hasa mahela
Njema mkuu karibu ulimwengu wa Mabingwa Fc BarcelonaZa jumapili wakuu