Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari za wewe apo eti

Nikumbushe hebu wewe ni nani tena
SAKAYO stop it.

Leo unaniuliza hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha

Nikumbushe bana! Meshiba pilau la kudowea kumbukumbu sina
Twende MMU utanikumbuka tu. Hahahahah.

Au shunie akimaliza kupika muulize atakwambia.
Sakayo unamsahau vipii joshy enzi zile makapuku yenyewe

Alikuja humu tukawa tunachitchat akapigagwa mkwara na bwana yule lee wa kwanza aache kuzoeana na mke wa mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] enzi za mibebisho joshy wa watu aliogopa hata kuingia humu
 
...nilikuwepo sana humu lakini sababu zilizo ndani ya uwezo wangu zilinifanya nisiweke muziki kama navyopenda na unajua kabisa kwa usawa huu hujali kama naweka muziki au siweki nami ni hivyo hivyo tu sijali unapenda au hupendi lakini kitu kimoja nakijua fika, yaani nina uhakika nacho ni kuwa wewe ni mtu mzuri sana, yaani wewe ni good people, unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Burudika na kama unaendelea kufunga 6 basi wewe pilau utakula wiki ijayo

Imfikie Lee popote alipo
 
..
20190606_041419.jpg
 
Back
Top Bottom