Makapuku Forum

Makapuku Forum

Salaam wapendwa huku bila shaka hamjambo nyote na familia zenyu [emoji52][emoji52]
Mi nawakaribisha sana nyote tulojaaliwa kuifikia Eid ya mwaka huu tukiwa wazima Eid mubarak nawapenda mimi [emoji173][emoji173]mje kwetu eenh..

IMG-20190504-WA0054.jpeg
 
...salamu nyingi sana kwako pia, Eid Njema, na kama vipi yale mambo yangu ningekuwa nimekamilishiwa basi ningekupa mkono wa eid bila Idd mwenyewe kujua.

Uko pa lakini
[emoji38][emoji38]nimezipokea salam bila kinyongo na asante sana..

Sema hapo kwenye mambo yetu ndo umeharibu [emoji45] (umenikumbusha machungu nilikwishasahau )

Niko poa sana nashkuru mpk sasa,
Je wewe na familia, ?
 
Back
Top Bottom