[emoji3][emoji3]Nilikumiss pia jirani,,umefanikiwa kuiba nywila leo jirani[emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3]duh mi naisubiri ya Tz sijui itanyesha ya mamba
Aliyekuteka Mungu anamuona[emoji3][emoji3]
Hahaha[emoji3][emoji3]duh mi naisubiri ya Tz sijui itanyesha ya mamba
Hahaa anamuona kwakweliAliyekuteka Mungu anamuona
Teh... wapi hapahapa Tz au? na tulivyo na madhambi mengiHahaha
Inyeshe ya mahela bwana
Ndiyo kijanaDuuhh kumbe kuna founder wa makapuku
Wana pata mshahara?Ndiyo kijana
[emoji23][emoji23]mi mwenyewe mgeni subiri waje wenyeweWana pata mshahara?
AiseeeSakayo unamsahau vipii joshy enzi zile makapuku yenyewe
Alikuja humu tukawa tunachitchat akapigagwa mkwara na bwana yule lee wa kwanza aache kuzoeana na mke wa mtu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] enzi za mibebisho joshy wa watu aliogopa hata kuingia humu
Kwema kabisaaa kakaKwema Sakayo
HaahhahaWana pata mshahara?