Makapuku Forum

Makapuku Forum

...nilikuwepo sana humu lakini sababu zilizo ndani ya uwezo wangu zilinifanya nisiweke muziki kama navyopenda na unajua kabisa kwa usawa huu hujali kama naweka muziki au siweki nami ni hivyo hivyo tu sijali unapenda au hupendi lakini kitu kimoja nakijua fika, yaani nina uhakika nacho ni kuwa wewe ni mtu mzuri sana, yaani wewe ni good people, unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Burudika na kama unaendelea kufunga 6 basi wewe pilau utakula wiki ijayo

 
Ankooo najuaa nina kesiii kubwaa


....hizi kesi hebu ziache kwanza sikukuu iishe maana nimepiga vyombo saa hizi na kama kawaida yako ukishakuwa tingasi tu basi unaanza kuwaza kesi, kwanza unazo nyingi sana hadi rais akaenda nje ya nchi kutafuta majaji wa kuzisikiza
 
Back
Top Bottom