Habari poa sana.Poa we mzee habari yako
Hahaha kwahiyo unakataa we sio mzeeHabari poa sana.
Ukiniita Mzee unanitia unyonge sana
Nakumiss mpaka naumwa
Hahaha aisee....simu yangu baada ya kukutumia mwaliko tu ikazimika. Tusubiri sikukuu nyingine kwa kweli. Nisamehe sana, ila nilikuwa nimeendaa tafrija kabisa yaani madikodiko na manywaji yalikuwa mengi sana.