binamu umeanza tena,juzi kati si umetuambia kuwa na ww ulikuwa kangomba,hvyo fursana ya
Tumosa inabd avumilie tu,,leo tena unasema ulilipwa haha
Au Sepenga alipita na malipo yote,na inaweza kuwa ndio yalitumika kumpeleka salon na ule muonekano mpya aliona nao kichwani,pesa za koroshow hizo binamu
Btw kale katoto kadj kapo vizuri sana,ukichanganya na kale kadada kake bhasi wanafanya mambo yanakuwa burudani kabsa