Jirani wewe[emoji2][emoji2]Halafu jirani mi na wewe ndo hatusalimiani shikamoo hivi kwanini [emoji23] ngoja nijaribu kukusalimia Kama utaitika
Shikamoo jirani
Sasa hv anaitwa smartmjukuu,,mhenga kijana ana mambo huyu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu umeanza tena,juzi kati si umetuambia kuwa na ww ulikuwa kangomba,hvyo fursana ya Tumosa inabd avumilie tu,,leo tena unasema ulilipwa hahaningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
Nipo.Upo ndugu yangu
Jipya ni kuhusu hela za korosho...salamu nimeipokea. Ngoja kwanza niongee na my Telemundo maana ndugu yenu ndo najirejesha toka kumtumikia baniani.
Kuna Jipya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
Njema njema
BabyAmkeni muwahi namba huko[emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoooooooningendako duh, nimeifurahia hii clip ya huyu DJ Arch, ngoma anapiga za South na kwa vile mimi simu yangu ina sabufa (subwoofer). Hii simu ni zile mpya na nimeiunganisha na JB Charge E14 muziki wake si wa kitoto.
Asante
NB: Nilinunua simu mpya baada ya kulipwa hela yangu ya kwanza ya kuuza korosho, lakini nadhani nilifanya maamuzi mabovu, kama kuna mtu anashida na simu mpya anitafute nimuuzie. Ikiwa utaleta mteja basi utapata cha juu na hutakatwa kodi, cash bin cash
Sitaki jina la shangazi muiteni shangazi yenu mary
Baby
Haujib pm zanguuu ujueeeMalizia kbs Maryam.
Hatimae umetoroka eti.?
Jiwe
Hivi jiwe yupo maana naona yupo kimya
Hee..!Haujib pm zanguuu ujueee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mm nimezionaa na sitekwiiii tenaHee..!
Nimejibu zote lbd km nilikua najibu ndotoni[emoji23][emoji23]
Hilo jina silitaki mm nimeokoka jamani nimezaliwa upyaJiwe
Ujambo dogoHivi jiwe yupo maana naona yupo kimya