...malipo kwa kweli binamu hata nikiongea nitaonekananatunga maneno, si unakumuka niliunganishwa eti mimi nina kangomba, basi mkulu si akasamehe kwamba tusirudie tena, sijalipwa kama alivyoagiza. Sasa hivi najiuguza tu hapa.
Huyu
Tumosa kweli nilimuahidi zawadi fursana, lakini naona hali imekuwa tete, inabidi asubiri Krismasi maana imekaribia nitakuwa nimelipwa.
Mwenyewe leo nimeshindia pipikoo