Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Niende kuchepuka eeh?Kweeendaa
Niende kuchepuka eeh?Kweeendaa
EwaaaaaMwezi August..
Nakazia uendeSakayooooooo Nakujaaaa
Nani ataweza kivuli etiNiende kuchepuka eeh?
Hahahha ndio ufanye utoe kivuliHahahaaa...
Hizi accusations sasa zimezidi..!
Wewe ndio umepiga block..!Hahaha hahaha
Ujue wewe apo ni chizi hakyamungu....
Unipe block halafu unisingizie eti
Utoto raha sana jamaniiUnakumbuka ile thread tuliikeshea kesho yake pia tukaiamkia woiiii
WoooiHahahha ndio ufanye utoe kivuli
Nimesahau bwana nikikumbuka nitakwambia baba naaah au akiandika hapo nitakumbukaAlikuambia nini eti mama D..
Hivi yeye hafwi...kila mtu taarifa zangu ataleta mama Nah ..T umeongea point ujue ndio ufanye kumuunblock mama naah
Mm taarifa zangu ataleta mama naah


Hahaha hahahaWewe ndio umepiga block..!
Sema huku whatsapp haisapoti sana..
Hili la moyoni kabisaKwani uongoooooo
Mweeh mzee wa USA bwana kuja makapuku mpaka summer tenaAmesema mpaka summer
Hahaha hahaha hahaha hahahaJinga ww
Kweli aisee...T umeongea point ujue ndio ufanye kumuunblock mama naah
Mm taarifa zangu ataleta mama naah
NdiwoooHili la moyoni kabisa
HahhahahahhahahaHivi mimi na wewe hatufahamiani..
Siku nikifa bhana , uwaambie hawa ndugu huku jf..
Utadhani taarifa za Harusi..Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Nacheka mimi jamaniii... Hivi una uhakika kweeli kabisaaa




Nakumbuka ile siku shida nilipata mmKuna siku kidogo niweke uzi umekufwa....maana sikukuona kabisaaa jamanii