Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Tuliongea mambo za kivulii, yaaani wewe unaweza msingizia mtu ndo wewe na akaamini@Sakayo mama Nah , eti mliongea nini?
Tuliongea mambo za kivulii, yaaani wewe unaweza msingizia mtu ndo wewe na akaamini@Sakayo mama Nah , eti mliongea nini?
Nilimtuma akupe ujumbe wanguIlikuwaje kwani?
Hahaha hahaha
Ujue wewe apo ni chizi hakyamungu....
Unipe block halafu unisingizie eti







AsiyejulikanaHivi nini maana ya kivuli?
Tutafanya hiyohiyoMwezi August..
Fanya kweli jamaniiDaaaadeki..
Ngoma inogile..
Hahahhaha kwahiyo get together hakuna haya ni makelele tuHahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Nacheka mimi jamaniii... Hivi una uhakika kweeli kabisaaa


Halafu inakuwaga tamu
WoyooooooEwaaaaa
Na mie nitakuwa likizo
IlikufaHiyo I'd umeipeleka wapi sasa
Hahaha hahahaUtadhani taarifa za Harusi..![]()
Sanaaaa woiiiiiiUtoto raha sana jamanii
UmeonaeeeeHahahhaha kwahiyo get together hakuna haya ni makelele tu
Samaki samaki ipi?
Za kwake nitaleta mm apaHivi yeye hafwi...kila mtu taarifa zangu ataleta mama Nah ..![]()
Send me yo pic please
Ilikuwa zamaniNipe link hebu?
Ipo jukwaa gani?