Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hapana ningalimjua tuu tuanze mapema..Siyo kwamba ningelikujua kabla sijaoa?![]()
Huonagi wazungu wakisema i married my longtime friend
Hapana ningalimjua tuu tuanze mapema..Siyo kwamba ningelikujua kabla sijaoa?![]()
Jirani yangu tuu...Ebu tuelezee huo mfano T
Kukulana..Hahaha hahaha
Umeonaeeee... Utani kumbe watu wanakulana





Woyooooooo! Namfaa sakayo mimi tuuu na yeye ananifaa milele..T wangu anafaa!
Yaaani sakayo bhanaa!@Sakayo umesikia maneno yako huku unayoambiwa
Kwani uongo...Aiseee
Tatizo upendo ni amri kuu kwa bible..Hahaha hahaha hahaha
Sitaki kuamini kabisaaa jamanii

Kajibu jee?Khaaaa
Kwahiyo huniamini kwa T woiiiiii

ShikamooAisee Mungu hafanani
Hunie...nashusha mapazia ya dirisha nakuja..Jamani eeeh
Mlale salama, hali ya hewa humu naona sio nzuri
Hahahaa ! Mama wabee unashtuka nini sasa?
Mahaba.Shikamoo
Nipo na kuzoom tuWe mtu upoo
Baba mchungaji huyoHahahaa ! Mama wabee unashtuka nini sasa?
HongeraMahaba.
Manyunyu hadi raha
Hahaha! Kaongea upupu..?Baba mchungaji huyo
Hahaha hahahaKwani uongo...
Kukunda na ujinga wako woteee! Nakupenda hivyo hivyo..