Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,406
Acha kabisa watu wanaitana baby baby kumbe wanakulanaHapa JF watu wananyanduana? Aisee![]()
Tena nimeguswa nimegusikaYaani yaonekana ameguswa haswaaaa
Kuna muda namuomba Mungu ningelikijua ukiwa tumbomi mwa mama yako.Kuna muda namwomba Mungu angekuleta mapema![]()
Maisha mafupi halafu matamu msukuma ukipendwa pendekaKula maraha bana. Maisha menyewe mafupi haya ohoo...
Aiseee !!!Acha kabisa watu wanaitana baby baby kumbe wanakulana
Uniwachi unataka nn etiHahahaaaaaa
Sikuwachi akiii
Ebu tuelezee huo mfano TKabisaaaa yaaaani na nina mfano hai mimi.
Kwakweli hata mm siutaki utani kwa mbebez wangu kumbe nje ya jf wanavuana vyupi mfyuuuuuu
Acha kabisa watu jf hawafaiHahaha hahaha
Umeonaeeee... Utani kumbe watu wanakulana
Kweli. Ukipenda usipopendwa muziki wake huwa si wa kitotoMaisha mafupi halafu matani msukuma ukipendwa pendeka



OooohNiko na mood flani tu na uko nje mvua inapiga sana
Woiiiii niko mzima kabisaHalafu nahisi kama vile tayari ushaonja Heineken wewe. Si kwa kujiachia huku wallahi![]()
Abee
T wangu anafaa!Acha kabisa watu jf hawafai
@Sakayo umesikia maneno yako huku unayoambiwaKuna muda namuomba Mungu ningelikijua ukiwa tumbomi mwa mama yako.
Sema ukweli kabisaaa mpendwaUkiitika-ga hivi napagawa mpendwa
Hivi ni yangu eeehhhh@Sakayo umesikia maneno yako huku unayoambiwa
Ndiwooooo sitaki mmKoooh kooooh