Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mapenzi hayana mwenyewe unaweza penda kijana au mzee
tapatalk_1554572153931.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo msukuma ww unapenda wenye mavyura acha flatscreen sisi tuimbe tu
Wewe cheupe, tipwa tipwa halafu msambwanda unao. Sema tu unajifanyaga. Ila hizo sifa kwa Msukuma hata useme title ya mashamba ya ukoo unapewa. Tena wa kutoka Tanga?
 
Back
Top Bottom