Ndiooo jirani,
Hahahaha aisee binamu...hapo hata kitambi hakionekani, sijui kwanini nikivaaga nguo nyeupe nakuwa kama padri asiyekula sadaka kupitiliza
...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana
Hahahaha aisee binamu
Hahahaha aisee binamu
Sawa sawa ankoo,,Hahahaha, nazitoa basi ,nisikuudhi mtarajiwa wangu
MTC | 101|
Bila kusahau cheni pia
anko unafeli sasa,hutakiwi kukata tamaa
Binamu, shwari kaka. mambo yakoje kuielekea Ijumaa
HahahahaSikati tamaa huyu mie ninae ,labda nife
MTC | 101|
Sawa sawa ankoo,,
Anko huyu mutoto Mie ninae mwanzo mwisho ,lzm aje huku kutulia
MTC | 101|
PoleAnkoo unaanza kufeli sasa,,,support yote hii tuliokuonesha kweli,unaaga mapema ankoo,,c'moon ankoo
Ndiooo jirani,umetokea wapi jirani haha
So ana pcha zako Huyo
Sasa unanipendaje hunijui mm sikujui au ndio yale ya jf kupenda avatar fake au mwandiko wa mtu
Kama auntie yake Tumosawaaow kadhuri... Teh jirani wewe nimetokea kule kule kwa kila siku..
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama binamu,mambo yanaende namshukuru Mungu,vp huko??kwema kabsa??
Hivi binamu umefufukia wapi lakini...kamba kiunoni tena, au unamaanisha shanga?