AtajibebaAnasema eti majina ya shemdarling ni mazito bora aendelee kubeba kg 1 inamtosha hahahaaa...
Ulevi nomaaaaa![]()
![]()
![]()
Hii mbinu mbadala inahitaji uzoefu mkuu,,,,, si unajua kale kausemi ka "chonde chonde............... Noumaaaa"
Kaka mi mzima kabisa. Sema mambo yanaingilianaDada toka asubuhi nakuona unapita kimya kimya tu nikigeuka kukuchek ushapotea....Mzima wewe?
Kuna tatizo kijana??

... Napita.sjui walisema mzigo mzito mpe mnyamwezi.....beba tu blazaPole sana braza, ngoja sie tuendelee kubeba huo mzigo hahahaaa...
Niko hapa, unataka twende wapi vile?nashukuru, hivi ndugu yangu yupo
Umeona eeehhhHahaha
Utamfanya pia akienda kwanya awe ana chelewa kurudi
Hahahaaa....Emmyguy ndio nani!?

Utajikuta Mahakamani siku moja ukajibu mashtaka ohooo!!!!Hahahaa
Sasa hyo ya kwako ntaijarbu juna tatu, ujue wanadhan wanatukoma kumbe tuko vzur
HahahahaUtajikuta Mahakamani siku moja ukajibu mashtaka ohooo!!!!
Emmyguy ndio nani!?
Hahahahaaa.....jamaa yangu tu flani nilikuwa namtafuta kama humjui basi, samahani kwa usumbufu![]()
![]()
