Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Teinaaaaaaa
pamoja sana mkuu karibunimekuelewa mkuu pamoja sana!
Aaahjamani suala sukari ya bure limeishia wapi? maana tumechoka kusubiri.
mbinu gani tena mkuu?Aaah
Usihangaike kusibir, mchek amaizing atakupa mbinu mbadala
Aaah
Usihangaike kusibir, mchek amaizing atakupa mbinu mbadala
Mbinu za kupata breakfast bila sukarimbinu gani tena mkuu?
Teh teh![]()
![]()
![]()
Hii mbinu mbadala inahitaji uzoefu mkuu,,,,, si unajua kale kausemi ka "chonde chonde............... Noumaaaa"
Pole sana braza, ngoja sie tuendelee kubeba huo mzigo hahahaaa...mie kilo ya sukar inatosha swez kubeba 50 kgs boss
Safi, wikiendi vipi?Fresh,mishe vp
Mkuu haujambo lakin!!?
Anasema eti majina ya shemdarling ni mazito bora aendelee kubeba kg 1 inamtosha hahahaaa...Kuna tatizo kwani?