Wa kuvuta nje dada
Weka mdomo kama unataka kuzuia mate ya uchu wa embe mbichi, halafu vuta hewa kwa ndani kama mam mjamzito anayemnyali mumewe anaenuka kikwapa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nyimbo ya diamon na mwenzie harmonize
Tayar bibie, mtizame mangi anataka kukudhulumu tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli nimeachaNdio utizame pakupekua, utapekua kwenye jalala ukatwe na chupa shauri yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeehhh. Agana kabisa na meno yako ya sebleni
Hahaa.. Mdogo wangu utachezea mabanzi mpaka uimbe haleluya.. Mie sitaki kuletewa kesi za kuamua hapa.
Hahahaha binamu alikuwa na Sepenga,hakutaka uwepo wako paleEeh ss mbona ukaniacha nduguyo ktk iman tukaenda kula wote.?
Au ndio undugu kwenye tabu tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa sikuiona hii tag kipenzi .... now days nimepatwa na ugonjwa wa uvivu wa ku-comment aisehearly tabia yako ya kunigongea LIKE halafu huongei sio nzuri jamani, wataka ninyima nini eti
Eeeehhh. Agana kabisa na meno yako ya sebleni
Inabidi upokee tuu kesi hakuna namnaHahaa.. Mdogo wangu utachezea mabanzi mpaka uimbe haleluya.. Mie sitaki kuletewa kesi za kuamua hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karaha yenye raha mpk ikasahaulisha machungu ya malipo....usiniharibie binamu, nilifaidi kwa nusu bei. Kuna karaha zenye raha, ukisikia ndo ilikuwa hivyo sasa
Hahahah,kwema binamu?...usiniharibie binamu, nilifaidi kwa nusu bei. Kuna karaha zenye raha, ukisikia ndo ilikuwa hivyo sasa