makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,449
- 108,520
Muulize mjomba wako obe.. Chumvi chumvi nimekula hamna hamna nina kontena moja na nusu la chumvi mwilini..
Safi mtoto mzuri
[emoji3][emoji3][emoji3]duhhhMuulize mjomba wako obe.. Chumvi chumvi nimekula hamna hamna nina kontena moja na nusu la chumvi mwilini..
Enzi za franco na tp ok jazz nilikuwa tayar nishaanza kwend disco..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwooo
Ahsante.[emoji3][emoji3][emoji3]duhhh
Haya basi kweli umekula chumvi Hongera zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize mjomba wako obe.. Chumvi chumvi nimekula hamna hamna nina kontena moja na nusu la chumvi mwilini..
Enzi za franco na tp ok jazz nilikuwa tayar nishaanza kwend disco..
Sent using Jamii Forums mobile app
....nipo mdau mwenzangu wa pande za Sunrise beach, niko mjini na kama kawaida niko namsikiza NC Chaku anatuburudisha kwa show hapa Kontena. Mapema asubuhi maveterani tunakiamsha kutafuta appetite ya kula supu na chapati.
Anway tuyaache haya ya kibinafsi mpwa.
...enzi za Franco mimi tayari nilikuwa nishaanza kutembea na Yondo Sister kila usiku, hizi ni siri zisizo na madhara (unclassified), hapo sijamuongelea Tshala Muana na Mbilia Bell- tuyaache haya kwanza, nikukumbushe kwa bakulutu hii
[emoji23][emoji23][emoji23]kipenzi wa X jmn khaa.[emoji1][emoji1][emoji1]kabishi haka Ka binti...
Salama kipenzi cha Obe
Nilikumisi mwee
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaamsha wanaolala nafsi 2[emoji4]kwa mda nilowaamsha bila shaka walikua hoi.Marybaby mbona unatufuruga(in senga's voice) kuamka ndio kupumzika ama kulala ndio kupumzika..
Wengine tunalala nafsi ya kwanza umoja, so tunapumzika, au ulikuwa unawaambia mupumzike nyie mnaolala nafsi pili uwingi, nyie mnaolala 4 legs mabingwa wa kulegeza nati za vitanda, nyie ndio usiku hampumziki, ila sie wakina pangu pakavu tia mchuzi.. Iihh, ndio mida yetu kupumzika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa anti.nilichelewa kuona hili agizoBinti ebu tafuta picha ya mdada uweke kwa avatar
Ni mjomba eti.?[emoji52][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji
Mmmh mliachana lini Kwani[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]kipenzi wa X jmn khaa.
Mi nawamisi mpk naumwa eti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]Shunie hili swali linajibiwaje.? Au aulizwe mhusika? ?Mmmh mliachana lini Kwani[emoji28]
Asante jamani tunakumis piaa mpenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38]Shunie hili swali linajibiwaje.? Au aulizwe mhusika? ?
Obe eti ni lini??
Sent using Jamii Forums mobile app