makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,870
- 104,069
Heshima yako mkuu
Nitakuongezea shunie akee, achana na andrewsoft kawa mvivu mnooo.Hahahaha niongezee basi niko nazo na je wajua halafu hiyo unayoniongezea maka akee isiwe kama ya Andrew soft
MfyuuuuuShikamoo jamani
Sasa huyu paka wangu chaukucha namsubiri akinya kitandani, akinya asifukie nitamtoa baru, namtia kwenye kiroba naenda kumsweka beach huko, sitaki ujinga, haiwezekani mie nigharamikie misosomolo, vimaziwa maziwa, visamaki, shenzi zake.
Safi jamaniii kaka
Woyoooo woyooooo





Yaan mvivu mpaka anaboreNitakuongezea shunie akee, achana na andrewsoft kawa mvivu mnooo.
Sent using Jamii Forums mobile app






Awww


miss u mnooo maka akee
AhahhahahhahahSasa huyu paka wangu chaukucha namsubiri akinya kitandani, akinya asifukie nitamtoa baru, namtia kwenye kiroba naenda kumsweka beach huko, sitaki ujinga, haiwezekani mie nigharamikie misosomolo, vimaziwa maziwa, visamaki, shenzi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. Marahaba.Wanaume shikamooniView attachment 1049251View attachment 1049252
Mkuu.Kifupi bila kupoteza muda wa kila mmoja wenu, ninawasalimia na kuwataarifu kuwa ndugu yenu nilikuwa na wikend nzuri, asanteni kwa kutouliza na ninaandika kuwatakia wiki njema na kama kawaida yangu, salamu zinasindikizwa na burudani.
BTW ni furaha kumuona marybaby jukwaani. Mimi bado ni yule yule