makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,827
- 103,914
Bora korosho tungetafuna wenyewe tuu.. Huu ni uhuni mkuu....nililipwa nusu binamu, zawadi yako subiri sikukuu ianze, watatumalizia mwezi huu walisema kwa hiyo uongo dhambi, nina mpango wa kuoa mke mwingine, jadi inaruhusu. Ukipata hela unaruhusiwa kuongeza mke, zikiisha mnaachana
Sent using Jamii Forums mobile app



