Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahah unichomesha mzee
Ebu fungukeni jamaniUnataka kufuatwa hapo kwenye sofa ulizokalia sasa hivi eeh..?
Bamutu bafunguke ila mimi sibo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa !Ameen Tmstari wa mwisho umenifanya nicheke
Kipindi namuona anakula mirungi na mm nikajaribu najionea natafuna majani tu sielewi chochote nikaacha

]Ile stimu wanaita andasi,,bhasi bhana kuna mwaka nilikuwa A Town,mitaa ya mianzini,tumeshahandasika na ndugu yangu tunatembea barabarani kuelekea Tripple A,,,tulikujikuta mikononi mwa polisi bila hata kujijuaEbu sema basi ni kitu gani hiko baba wawili
Hahah usiombe uwe na demu na yeye anatumia haya majani,huwa ni shida sanaHahahaa !
Kuna jamaa alikuwaga porter mlima kilimanjaro, he was my close friend..
Nakumbuka vile alikuwa wanakula na demu wake kabla na wakati wa kulana utamu..
[Hii ya wakati wa wanakula sikuwa shuhuda,ni ushuhuda wake hapo mwenyewe]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiingia night shift ndio alikua anakula anasema zinapoteza usingizi nilijaribu kutafuna nikashindwa jamaniHahahaa !
Kuna jamaa alikuwaga porter mlima kilimanjaro, he was my close friend..
Nakumbuka vile alikuwa wanakula na demu wake kabla na wakati wa kulana utamu..
[Hii ya wakati wa wanakula sikuwa shuhuda,ni ushuhuda wake hapo mwenyewe]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hujambo mpwa wangu. Mimi nilikuwa nakusalimu tu, lakini hii picha minjemba italeta ndivyo sivyoHahahhaha inaleta ndivyo sivyo nn anko
Kuchanja ndio nn baba wawili vijana mna maneno jamaniIle stimu wanaita andasi,,bhasi bhana kuna mwaka nilikuwa A Town,mitaa ya mianzini,tumeshahandasika na ndugu yangu tunatembea barabarani kuelekea Tripple A,,,tulikujikuta mikononi mwa polisi bila hata kujijua
Kwanza andasi lile lilitufanya tusijue kama tunaongea na askari,mdomoni tunatafuna tena bila hata wasiwasi,,
Bhasi wale askari wa patro wakatubeba wakachukua na mzigo mwingine,,tukapiga nao misele kama masaa matatu hv,cha ajabu na wale mapai nao wakawa wanachanja,,walikuja kutuacha Ngaramtoni,,hahaha huwa nikikumbuka lile tukio nacheka sana
Eeenh inakuwaje jamaniHahah usiombe uwe na demu na yeye anatumia haya majani,huwa ni shida sana
Hamia Yanga,ntakuambiaKuchanja ndio nn baba wawili vijana mna maneno jamani
Hahaha sijambo anko wangu hofu kwako tu hao manjemba wapunguze ufisi tuHahaha hujambo mpwa wangu. Mimi nilikuwa nakusalimu tu, lakini hii picha minjemba italeta ndivyo sivyo
Mfyuuuu na story yako siitaki tens kuisikiaHamia Yanga,ntakuambia
Hahaha nina uhakika kuna mafisi hayajalala baada ya kuona hii picha. Haya niambie mpaka sasa umepata PM ngapi na appointments ??😂😂😂😂Hahaha sijambo anko wangu hofu kwako tu hao manjemba wapunguze ufisi tu
Na wewe pia mkuu.Ndugu zangu muwe na jioni na njema!!nimefurahia kubadirishana mawili matatu![]()