Makapuku Forum

Makapuku Forum

Happy furahiday na wikend wadau wema wa jukwaa hili. Nishaianza wikend na nimeona nikusalimie maana muungwana husalimia. Uwe na wikend njema na burudika kwa 'riddim' hii

 
Hahahaha, hivi shangazi Shunie leo kafichwa wapi?

MTC | 101|
Atakuwa msibani labda
Hahahaha, msiba wa Boss Ruge?

MTC | 101|
Watakua wanalewa safari carnival au mebs

MTC | 101|
Mibs atakuwa ameenda kula mdudu tuu pale...!
Yule anapiga heineken tuu..
Hahahaha, yuko vzr

MTC | 101|
Niko hapa mie halafu nimeokoka mie shahidi Sakayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom