Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema mzima?
Hbr ya mchana wapendwa
Hbr ya mchana wapendwa
Abeeeeeee
Usijali nipo hewani badoAbeeeeeee
Samahani sikusikia sauti yako mkuu
Umeitika kwa sauti hadi watoto wameshtuka...Abeeeeeee
Samahani sikusikia sauti yako mkuu
Umeitika kwa sauti hadi watoto wameshtuka...

Mwambie kuna mtandao unaitwa makapuku forum...Hahahaha, niko na mjeda mmoja wa cheo cha ...huku ananiambia kwann ukishika simu huwa unacheka muda wote
Nimeshindwa kumjibu
MTC | 101|![]()


Unataka nitaje hicho cheo chake ama?Hahahaha, niko na mjeda mmoja wa cheo cha ...huku ananiambia kwann ukishika simu huwa unacheka muda wote
Nimeshindwa kumjibu
MTC | 101|![]()



Mwambie kuna mtandao unaitwa makapuku forum...
Then, mwambie Mdogo wake namsalimia

Unataka nitaje hicho cheo chake ama?![]()

Ngoja niweke maji mdomoni !Hahahaha, kausha Mkuu ingawa najua hukijui
MTC | 101|![]()
Atakuwa msibani labda
Nakisikiliza kakangu!Usijali nipo hewani bado
Jamani..Umeitika kwa sauti hadi watoto wameshtuka...
KhaaaaAtakuwa msibani labda
Jamani..
Wabwmbeleze hebu... Niko na mazungumzo na anko wao
Lounge wapi huko? Mangi Shayo kafungua lounge siku hz?Niko nacheza nao game kwa lounge hapa..
Hakuna tatizo wala!
