Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ebu niambie baba wawili umejuaje kwanza kuhusu mambo ya nywele za darling
Hahaha
Kama nikusapraiz eeh

Hizi nywele za darling nmezijua muda tu,kama 2014 hv,,kuna mdada flani hv alikuwa kama modo kwenye nywele hizo
Picha yake hii hapo chini...

Kitu kilichonifanya nimjue huyu dada pamoja na hzo nywele alizokuwa anatangaza,ni juu ya kifo chake,,huyu dada alifariki kwenye ajari ya gari iliyotokea huko Geita,alipoteza maisha palepale,,,

Ajari yake ilijaa na maswali mengi sana,,kwani huyu dada alikuwa ana ishi Mwanza (Kuna watu wanadai aliwahi kusoma CBE ya Mwanza)huko alikuwa ana mchumba wake,,sasa kipindi anapata ajari hii alimuaga mchumba wake kuwa anaenda Kahama kwa dada kumsalimia kwan siku ya harusi yao ilikuwa imefika,,jamaa akamkubaria pasipo kujua kuwa mchumba wake huyu(modo wa nywele za darling)hakuwa anakwenda Kahama kama alivyoaga bali alikuwa anakwenda Geita kwa mpenzi wake wa siku nyingi(nafikiri alikwenda kupiga show ya mwsho mwsho kabla hajaingia kwenye ndoa rasmi)..bhasi bhna baada ya kwenda huko Geita ndio akapata ajari mbaya ya gari akiwemo yeye mshikaj wake,na couple nyingine ilikuwepo jumla ya waliokuwepo kwenye gari lile walikuwa wanne,,alisalimika jamaa mmoja kama sijasahu vzr,,ila huyu dada (modo wa darling kipind hcho)alipoteza uhai pale pale na jamaa wake(mchepuko wake)

Hili tukio ndio lilinifanya niwe nikikutana na matangazo ya nywele popote pale,,nisome.

Hope umenielewa vyema shangazi!!
gre.jpeg
 
Hope umenielewa vyema shangazi!!View attachment 1033538
Dah inasikitisha hizi safari za kusafiri za kuchepuka ukipata ajari bora ufe tu kabisa kuliko unusurike kupona

Natamani kujua mchumba ake ilikuwaje alivyosikia wife to be kapata ajari na mchepuko

Nimekuelewa sana baba wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom