hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,295
- 80,142
Hahah usinicheke ujue " mwenzio nateseka na huba ujue .... hebu fanya fanya kunipigia pigia pasi hapo " Nitakupoza nina hela za mkopo hapa..zimekosa wakuzichuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app