Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440




ila umekataa kujoin kwenye ukoo wa mapacha jirani,,hutak mambo mazuri ww



ila umekataa kujoin kwenye ukoo wa mapacha jirani,,hutak mambo mazuri wwKwema za sikuKwema dada ake?
ila umekataa kujoin kwenye ukoo wa mapacha jirani,,hutak mambo mazuri ww


kwa ushawishi nakuaminia kaka angu
Weekend njema wapendwa
Ulitaka unione wapYaani wewe huwa nakuona huku tuu.
Ulitaka unione wap
Dahh hiyo avatar ..mhh mke wangu umekuwa mzuri namna hiyo ... tafdhali turudiane aise
Oh samahani sana kama comment yangu imekukwaza. Sikuwa na nia mbaya. Bless up



hapa ndo kwetu ndo maana unanikuta Heshima yako shemela,naona unajpanga kurudisha majeshiDahh hiyo avatar ..mhh mke wangu umekuwa mzuri namna hiyo ... tafdhali turudiane aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hayo mnayaweza wewe na dadaakoila umekataa kujoin kwenye ukoo wa mapacha jirani,,hutak mambo mazuri ww
Shemela ..heshima yako pia ... Aisee nyie wanyaki noma sana " Mtoto mmemlemba lemba hivyo amekuwa anawaka kama mchana " Aise hapo nisipo rudisha majeshi hata shetani atanicheka ujueHeshima yako shemela,naona unajpanga kurudisha majeshi
Dahh hiyo avatar ..mhh mke wangu umekuwa mzuri namna hiyo ... tafdhali turudiane aise
Sent using Jamii Forums mobile app




uwiiih!! Kwahiyo sikuzote ulijuaga mi mbaya mxieewHapana mama watoto " ubaya huo uutoe wapi " sema umezidi kuwaka waka ..kama umezaliwa upya ..
Hahahahah watoto tulizaa lini!?umezurura weee huko wameisha umeamua unikumbukeHapana mama watoto " ubaya huo uutoe wapi " sema umezidi kuwaka waka ..kama umezaliwa upya ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani jamani " haya tutaongea chumbani tukiwa wawili tu ruksa unizodoe unavyotaka ... hapa ukinichamba nitaonekana baba bure. Nisiyeijali family yangu " .. mimi nawewe tumetoka mbali mama watoto jamani usinikatili kiasi hichiHahahahah watoto tulizaa lini!?umezurura weee huko wameisha umeamua unikumbuke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha nakujua wewe ni baba maneno mengi yaani hapa sikuamini hata kidogoJamani jamani " haya tutaongea chumbani tukiwa wawili tu ruksa unizodoe unavyotaka ... hapa ukinichamba nitaonekana baba bure. Nisiyeijali family yangu " .. mimi nawewe tumetoka mbali mama watoto jamani usinikatili kiasi hichi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mmh " jamani Tamu yangu leo hii ndio nimekuwa baba maneno sawa tu wee nione tu " Mungu atanilipia mimi.. wewe sio wakunifanyia hivi unataka moyo wangu uanze kwenda mbio kama miguu ya usein bolt siutaniua mtoto wa mwanamke mwenzio jamaniHahahahahaha nakujua wewe ni baba maneno mengi yaani hapa sikuamini hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuu
Shemela ..heshima yako pia ... Aisee nyie wanyaki noma sana " Mtoto mmemlemba lemba hivyo amekuwa anawaka kama mchana " Aise hapo nisipo rudisha majeshi hata shetani atanicheka ujue
Sent using Jamii Forums mobile app




