Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Safi sana jamani za kuadimika
Nzuri mama D...Safi sana jamani za kuadimika
Amina mama D...Asante T tuzidi kumshukuru Mungu hakuna kama yeye
[emoji23][emoji23][emoji23]ai tupo wengi mno hiyo hela wengine tutaambulia mia mia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msururu wa vipi huo
[emoji23][emoji23][emoji23]nyooYaan naipendaga sana kanaonekana kadada kastaarabu kama mm jamanii
Kwahiyo unanibishia mm sio mstaarabu jamani [emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23]ai tupo wengi mno hiyo hela wengine tutaambulia mia mia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]sijabisha mweeKwahiyo unanibishia mm sio mstaarabu jamani [emoji6]
Ila ni nini eti hivi mm kweli sio mdada mstaarabu baba wawili ningendako ebu ukuje jamani huyu binti ananibishia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji53][emoji53][emoji53]nivumilie hizo hamsini hamsiniUnavumilia acha kukata tamaa mapema wa wapi we mdada
Hahahahah tena unamuuliza huyo hayaa ngoja niwe mtazamajiIla ni nini eti hivi mm kweli sio mdada mstaarabu baba wawili ningendako ebu ukuje jamani huyu binti ananibishia
Vumilia tu mwishoni utakula malaki tu woiiiii [emoji91][emoji91][emoji91] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu Obe alivyo habebeki sasa utambeba atakuja kukutupa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji53][emoji53][emoji53]nivumilie hizo hamsini hamsini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndio ataniua kabisa eenh
Binamu Obe na ww korosho zako zimerudishwa au ABJ na baba wawili ebu mkuje mshangae ya koroshow
BBC: sakata la korosho serikali ya Tanzania yawarudishia wakulima korosho wadai hazina viwango, wengi hawajalipwa mpka sasa - JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23]vyakumbebea havipoVumilia tu mwishoni utakula malaki tu woiiiii [emoji91][emoji91][emoji91] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] binamu Obe alivyo habebeki sasa utambeba atakuja kukutupa